Preview

Swahilii Proverbs

Satisfactory Essays
Open Document
Open Document
6765 Words
Grammar
Grammar
Plagiarism
Plagiarism
Writing
Writing
Score
Score
Swahilii Proverbs
Methali za kiswahili ---- Swahili proverbs 1. Adhabu ya kaburi aijua maiti, The touture of the grave is only known by the corpse 2. Akiba haiozi, A reserve will not decay 3. Asifuye mvuwa imemnyea. He who praises rain has been rained on. 4. Akili nyingi huondowa maarifa. Great wit drives away wisdom 5. Asiye kubali kushindwa si mshindani.He who does not admit defeat is not a sportsman 6. Atangaye na jua hujuwa. He wanders around by day a lot, learns a lot 7. Asiye kuwapo na lake halipo.If you are absent you lose your share 8. Avumaye baharini papa kumbe wengi wapo.Shark is the famous one in sea the but they many others 9. Baada ya dhiki faraja.After hardship comes relief. 10. Baniani mbaya kiatu chake dawa.An evil Indian but his bussiness is good. 11. Bendera hufuata upepo. A flag follows the direction of the wind. 12. Bilisi wa mtu ni mtu.The evil spirit of a man is a man. 13. Chamlevi huliwa na mgema.The drunkard's money is being consumed by palm-wine trapper. 14. Chanda chema huvikwa pete.A handsome finger gets the ring. 15. Chombo cha kuzama hakina usukani. A sinking vessel needs no navigation. 16. Chovya - chovya yamaliza buyu la asali. Constant dipping will empty goud of honey 17. Dalili ya mvua mawingu. Clouds are the sign of rain 18. Damu nzito kuliko maji.Blood is thicker than water 19. Dawa ya moto ni moto. the remedy of fire is fire 20. Dua la kuku halimpati mwewe.the curse of the fowl does not bother the kite. 21. Fadhila ya punda ni mateke. Gratitude of a donkey is a kick. 22. Fimbo ya mbali hayiuwi nyoka. A wepon which you don't have in hand wont kill a snake. 23. Fuata nyuki ule asali.Follow bees and you will get honey 24. Fumbo mfumbe mjinga mwerevu huligangua.Put a riddle to a fool a clever person will solve it 25. Ganda la mua la jana chungu kaona kivuno.The skin of yesteday's sugarcane is a havest to an ant. 26. Haba na haba hujaza kibaba.Little by little

You May Also Find These Documents Helpful

Related Topics